TATIZO LA KUVURUGIKA KWA HEDHI YA MWANAMKE

TATIZO LA HEDHI KWA MWANAMKE.
(KUVURUGIKA KWA HEDHI)

Hili ni tatizo linalowatokea  wanawake mara kwa mara

Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda.

Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki.

Unaweza kutokewa ghafla tu unapata hedhi mahali usipotarajia jambo linakufanya ubaki na woga na huelewi nini cha kufanya kwani hukuwa umejiandaa kwa tukio hilo kama matokeo ya siku zako kutokuwa mzunguko maalumu.
 Wakati mwingine unaweza kupitiliza mwezi hata miezi kadhaa bila kuona kabisa siku zako na hata ukipima ujauzito unakutwa huna ujauzito wala dalili huna.

Madhara ya kuvurugika kwa mzunguko ni pamoja na;

  kushindwa kupata ujauzito,

 maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.

Kwanini unahitaji mzunguko wa hedhi ulio sawa?


Faida za kuwa na mzunguko wa hedhi ulio sawa:

Utakusaidia kupata ujaouzito ulioupangilia  na Utakuepusha kupata ujauzito ambao hukuupangilia   Utaweza kuamua jinsia ya mtoto unayemtaka

Nini husababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi


Ni rahisi kugundua kama mzunguko wako umevurugika ikiwa tu unauafahamu vizuri mzunguko wako ulio sahihi. Kufahamu mzunguko unahitaji uifahamu siku ambayo ulianza kuona hedhi yako hadi siku utakapoona tena katika mzunguko unaofuata,  kila mwanamke huwa na mzunguko wake usiofanana na wa mwingine.

Mara nyingi  Tatizo linaweza kuanza kwa kurukaruka siku,  mwanamke pia anaweza kupoteza siku yaani mwezi mwingine anaona na mwezi mwingine haoni, au anaingia mara mbili kwa mwezi au anaona  hedhi kwa siku nyingi hata zaidi ya siku arobaini mfululizo.
  Hedhi  yake inaweza kutokea kidogo kidogo kila siku au nyingi huku ikiambatana na mabongemabonge na maumivu pia.
 Maumivu haya ya wakati wa hedhi huenea chini ya tumbo mpaka miguuni na kiunoni.

Kuvurugika kwa hedhi kunaweza kutokea kutokana na sababu zifuatazo:


  -Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mfumo wa mwili hubadilika pia hasa mwanamke akitoka sehemu ya joto kwenda mikoa ya baridi au toka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto.

- Msongo wa mawazo (stress)HofuWoga
  -Mabadiliko ya kisikolojia
   -Uvimbe kwenye kizazi, kwenye Ovary na katika mirija ya Uzazi.
   - Matatizo kwenye mfumo wa homoni yaani homormone imballance


  -Matatizo kwenye vifuko vya mayai
  -Mimba kuharibika
  -Maambukizi sugu ya kizazi pia ni mojawapo ya sababu.
 Kwani hupekekea kuharibika kwa mbegu kabla hazijasafirishwa kwaajili ya urutubishaji.
  - Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ya mara kwa mara
  -Matatizo ya  U.T.I na Fangasi ya mda mrefu ambayo hupelekea Kutokwa na uchafu ukeni mara kwa mara na Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi


  SULUHISHO PENDWA

Kabla ya yote unapopatwa na tatizo hili kwa muda mrefu ni vizuri ukaonana na daktari uweze kupata uchunguzi wa kutosha kubaini nini hasa inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya tatizo kwa upande wako.
Na mara nyingi tatizo hili litokeapo wengi hutumia dawa na hata wengine kufanyiwa operesheni ili kuondokana na tatizo hili.
Lakini ni wachache ambao hufanikiwa kuondokana na changamoto hii hivyo hujikuta ni wahanga wa matumizi ya Dawa, Sindano na  upasuaji wa mara kwa mara na hata wengine kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa kizazi.


   SULUHISHO LA KUDUMU

Ili kuondokana na changamoto hii
Programu maalumu imeandaliwa ili kuweza kumsaidia mwanamke kuondokana na changamoto ya Matatizo ya Uzazi,
Programu hii humsaidia mtumiji katika:
  1: Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula, Mmengenyo wa chakula unapokuwa vizuri huusaidia mwili kuweza kupata virutubisho muhimu hivyo mwili kuweza kupata vitamins na madini yote muhimu katika mfumo wake wa uzazi, hivyo program hii itamuwezesha mtumiaji kupata virutubisho vyote muhimu vinavyotakiwa katika mfumo wake wa uzazi.

  2: Kuondoa sumu mwilini, sumu inapokuwa nyingi mwilini huathiri mfumo wa uzalishaji mayai kwa mwanamke, Hupelekea uzalishwaji wa vimbe katika vifuko vya uzazi,mirija ya uzazi na pia katika mfuko wa uzazi pia hupelekea utengenezwaji wa uchafu na sumu katika uke ambao hupelekea kuharibika kwa mayai ya mwanaume kabla ya kurutubishwa
Hivyo program hii itakuondolea sumu na kukupa
Kinga imara ya mwili na kukuondolea changamoto hiyo pia.

3: Kuboresha mzunguko mzuri wa damu, mzunguko wa damu unapokuwa uko vizuri husaidia katika usafirishaji wa damu na hivyo kumwezesha mwanamke kuwa na mzunguko mzuri na pia hedhi yake kuwa katika mpangilio mzuri au kawaida. Damu inaposhindwa kusafirishwa vyema katika mirija yake hupelekea kuwepo na changamoto pia katika mzunguko wa mwanamke yaani hedhi yake, pia hupelekea matatizo ya vimbe katika Mirija au ovaries na tatizo kubwa zaidi huwa ni mwanamke kupata matatizo ya Ganzi au kupooza mara kwa mara, hali hii ikiendelea kwa mda mrefu hupelekea stroke (kupooza)
Hivyo program hii itakupa uwezo wa kukuondolea tatizo hilo pia.

4: Kuimarisha na kuboresha kinga ya mwili, Mwili unapokosa kinga au kinga ya mwili inapopungua hukaribisha maambukizi katika katika Ovaries,Mirija ya uzazi, mfuko wa uzazi na mpaka katika Uke, hali hii ya maambukizi inapokuwa kubwa zaidi hupelekea tatizo hili kuwa sugu na hivyo humfanya muathirika wake hata atumiapo dawa zozote hali kujirudia tena. Hivyo basi tatizo hili liwapo kubwa zaidi na zaidi hupelekea mpaka kupata utasa au kutolewa kizazi.


Hivyo program hii itakupa uwezo wa kuboresha Mmeng'enyo wa chakula hivyo mwili utapata virutubisho muhimu,
Kuondoa sumu mwilini na hivyo mwili kupata virutubisho bora,
Kuboresha mzunguko wa damu na Pia kuimarisha Kinga ya mwili.

Programu hii hujumuisha Virutubisho mbalimbali ambavyo vimeandaliwa kwa ubora zaidi ili kuboresha Afya ya uzazi kwa mwanamke.


WASILIANA NASI:

+255716789967
+255755928588

Email:  Afyakwamama@gmail.com



Maoni

  1. je kwa wale tunao sumbuliwa na tumbo wa kati wa hedhi

    JibuFuta
  2. Me nilitumia sindano ya uzazi wa mpango lakini imepita miey5 sasa mwezi ulioisha nilibreed kawaida nashangaa mwez huu tangu week ya mwisho ya mwez wa sita mpk sasa nabreed

    JibuFuta
  3. Mm kwa mwezi huu nmebleed damu ikatoka kama siku 4 na kawaida napata siku 6 uadi 7. Baada ya wiki moja nikaskia tena maumivu kama ntapata tena lkn ikawa inatoka kidogo kidog..ilipofika siku 4 bado hali iko ile ile..nkachemsha mdalasini nkanywa nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kuanzia hapo nkapata vzr tu kwa muda wa siku 3. Kuanzia hapo nkiwacha na damu ikakata..leo ni siku ya 5 bado imebaki kwa mbaali sana....sasa nifanyeje au nisubir kwa muda wa siku ngapi?

    JibuFuta
  4. Kuna MTU anatatizo anapata hedhi ikikata inakaa simu 3 halafu inaanza tena kidogo kidogo nn tatizo

    JibuFuta
  5. Mm Nina mpenzi wangu anamiezi 3 hajaingia katika sikuzake na hana mimba je tatizo ni nn

    JibuFuta
  6. Mke wangu anamwezi wa nne haingii breed na hana ujauzito, anaambiwa huenda kizazi kimegeuka! Hii ni nini

    JibuFuta
  7. Habari mimi hedhi yangu haieleweki yaan spati hata miezi 9 na sjawahi tumia madawa ya uzazi was mpango hataskumoja mwezi wa 6 mwaka huu nilipimwa nikaambiwa ninauvimbe kwenye mayai lkn nikapewa Sawa nikatumia nikaingia hedhi miezi mi2 baada ya hapo ikakata mpaka sasa mwezi wa 2 sjaona na sina mimba

    JibuFuta
  8. Ninamiezi miezi 3 naingia hedhi pasipo mpangilio baada ya ck 14 naingia na baada ya siku 21 tatizo linaweza kuwa nn

    JibuFuta
  9. Tatizo la mvurugiko wa hedhi kwa mwez naingia hat Mara mbil kwa nyakat tofaut Yan hedh yang haipo sawa

    JibuFuta
  10. Rafiki yangu huwa anapitiliza siku zake, wakati mwingne huwa anapata maumivu ya tumbo na maziwa lakini haingii period. Inaweza pita hata siku kumi na hajawahi shika mimba nini inaweza kuwa tatizo na afanyeje

    JibuFuta
  11. Mm ninatatizo la hedhi kutokuwa na mpangilio sahihi. Wakati mwingine mzunguko unakuwa na siku 38 mpk 39 Sasa sielewi shida Ni nn

    JibuFuta
  12. mimi napata hedhi ya baada ya siku mbili yani kwa mfano 5 mwenzi unaokuja tareh 3 mwenzi inakuja 1

    JibuFuta
  13. Jamn habari samahan naomba mnisaidie dawa ya kutumiaa Kwan kipindi Cha hedhi me naona mpka napitiliza alafu natokwa na damu nyeusi

    JibuFuta
  14. Me tatizo langu naenda siku zangu siku tatu ila hazina mpangilio

    JibuFuta
  15. Natatizo kwenye siku zangu za hedhi inatoka kidgo kidgo ndani ya siku 3_4 mfululizo then inaanza kutoka nyingi yenye weuc na inayotoa harufu kali,Nini tatzo.

    JibuFuta
  16. Mm nimeingia period wk moja ilopita nmekaa cku 2 imeanza tena yaan kwa speed kuliko hata ile yenyew mpk Sasa ni cku ya7 naomba ushaur

    JibuFuta
  17. Kaz ya vidonge vya panga uzaz vya mwishon ambayo cina rangi ni nin

    JibuFuta
  18. Naomba kujua kaz ya vidonge vya mwishon kabisa ambavyo vina rangi nyekundu sasa hapo naomba kuelewa vina kaz gan kiafya

    JibuFuta
  19. Mm hedhi yangu I naenda had siku kum n mbili shida n nn

    JibuFuta
  20. Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.

    WhatsApp; +31 687 329 133
    Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
    Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
    Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon

    JibuFuta
  21. Hlw Mimi nlikuwa naona siku zangu vizuri likini mwez huu imekuwa changamoto kwani nimepata bleed kwa siku moja tu ikawa imekata.tatizo nn?

    JibuFuta
  22. Kutokwa na damu siku bado ni tatizo la mfumo naomba jibu

    JibuFuta
  23. Je kwanini napata hedhi baada tu ya kumaliza tendo la ndoa?na nitazuia hili tatizo kwa njia ipi

    JibuFuta
  24. Me mwezi huu nimeingia siku 2 imekata wkt naingia siku 3

    JibuFuta
  25. Mimi nilitumia p2 mwez wa kumi na moja mwez wa kumi na mbili nika breed kidogo toka mwez kumi na mbili cjaona breed mpka leo naitaji ushauri

    JibuFuta
  26. Mm.nina mpenzi wangu mzunguko.wake hauleweki

    JibuFuta
  27. Jaman na Mimi pia nakaaga hata miezi 6 bila kuona period yangu na kushika mimba sijawai Niko nashida please

    JibuFuta
  28. KWA MSAADA NAUSHAULI KWAWOTE MNAOSUMBULIWA NAAYA MATATIZO 0766587867

    JibuFuta
  29. KWAUSHAULI NA MSAADA TUCHEK 0766587867

    JibuFuta
  30. Mm nasumbuliwa na ttizo hili naenda period siku nne lkn baadae ya siku moja inaanza kutoka kdg kidg ad nafikisha siku sita au Saba, tatizo nnn?

    JibuFuta
  31. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe cha kusimama peke yangu bila mwili wa kusimama na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na Dk DAWN, baada ya kumwambia. kuhusu hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kiukweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi huku akiniomba kuwa hatoniacha kamwe. tena. Miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    * upendo
    inaelezea * inaelezea kivutio
    * kama unataka ex wako nyuma
    *acha talaka
    * kuvunja obsessions
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa kinga
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    * bahati nasibu
    * uchawi wa bahati
    Wasiliana na Dk Ediomo kwenye barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp:+2349046229159

    JibuFuta
  32. Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mwanamke akarudia hedhi katika mwezi. Sababu hizi ni kama
    1.mabadiliko ya hali ya hewa au mazingira.
    2.uvimbe katika kizazi( uterine fibroid)
    3.kujikondesha (anorexia nervosa)
    4.matumizi ya uzazi wa mpango
    5.Hormone kutobalance
    6.kufanya mazoezi kupita kiasi

    https://www.footslopestours.com

    JibuFuta
  33. Nilipambana na utasa kwa miaka mingi hadi mwishowe nikakata tamaa. Lakini kama msemo unavyoenda, kuna marafiki ambao haukutani mara mbili maishani. Shukrani kwa rafiki mzuri sana ambaye alinitambulisha kwa Dk. Dawn, kila kitu kilibadilika.

    Baada ya kueleza hali yangu, Dk. Dawn aliahidi kunisaidia katika tambiko la ujauzito. Kusema kweli, sikuamini kwamba ingefaa kwa sababu tayari nilikuwa na umri wa miaka 40, lakini niliamua kufuata maagizo. Kwa mshangao mkubwa, wiki tatu tu baadaye, nilipata mimba!

    Furaha iliyokuwa moyoni mwangu—na katika mioyo ya mume wangu na familia—ilizidi kudhibitiwa nilipowaonyesha matokeo chanya ya ujauzito. Baadaye nilijifungua salama na kwa amani, na baada ya mwaka mmoja na miezi minane, nilipata mimba tena. Hakika ulikuwa ni muujiza usioelezeka.

    Tangu wakati huo, nimependekeza Dk. Dawn kwa wanawake wengine wengi, na matokeo yao pia yamekuwa kama ilivyotarajiwa. Ndiyo maana ninapendekeza kwa moyo wote Dk. Dawn kwa mwanamke yeyote anayehangaika na utasa, matatizo ya ndoa au uhusiano, magonjwa, au aina yoyote ya suala la kiroho. Hakika atatoa suluhisho la kudumu.

    📞 WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta
  34. Ushuhuda

    Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
    Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
    Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.

    Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:

    ✅ Maneno ya mapenzi
    ✅ Tahadhari za Ujauzito
    ✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
    ✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.

    📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
    📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

    Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!

    JibuFuta

Chapisha Maoni